Contact Us

Listing Details

Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA)

Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA)

Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) ni taasisi iliyoanzishwa kwa sheria Na. 4 ya mwaka 2004 ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Bakiza lipo chini ya Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ofisi za BAKIZA zimo katika jengo la Kamisheni ya Utamaduni na Michezo.

Location

Contact Information

0 Reviews