Sunday, November 28
Shadow

Updates

Dk. Mwinyi amewataka Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya nchi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuitekeleza Sera ya Diplomasia ya Uchumi kwa vitendo

Dk. Mwinyi amewataka Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya nchi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuitekeleza Sera ya Diplomasia ya Uchumi kwa vitendo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya nchi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuitekeleza Sera ya Diplomasia ya Uchumi kwa vitendo ili kuiletea maendeleo zaidi Tanzania.Rais Dk. Mwinyi alieleza hayo leo Ikulu Zanzibar wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi. Katika mazungumzo hayo, Rais Dk. Mwinyi aliwaeleza Mabalozi hao kwamba Sera iliyopo hivi sasa katika Jamhauri ya Muungano wa Tanzania ni Diplomasia ya Uchumi, hivyo ni vyema Mabaozi hao wakaitekeleze kwa vitendo katika vituo vyao walivyopangiwa.Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa miongoni mwa hatua za utekelezaji wa Sera hi...
Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald Wright

Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald Wright

RAIS wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald Wright na kujadili masuala mbali mbali ya kiuchumi na kimaendeleo yanayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Nane. Mazungumzo hayo yamefanyika leo Ikulu Zanzibar ambapo viongozi hao kwa pamoja walieleza jinsi hatua za maendeleo zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Nane chini ya uongozi wa Rais Dk. Mwinyi huku Balozi wa Marekani akiahidi kwamba nchi yake itaendelea kuziunga mkono hatua hizo. Katika mazungumzo hayo, Balozi wa Marekani Donald Wright aleleza jinsi alivyoridhishwa na juhudi hizo zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Nane katika utekelezaji wa maendeleo kwa lengo la kuimarisha ustawi wa wananchi. Balozi...
Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi Agosti 25, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania.

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi Agosti 25, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania.

Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Agosti 25, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania. Mhe. Rais awali alikutana na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mubarak Mohammed Alsehaijan. Rais Dk. Mwinyi ameishukuru Serikali ya Kuwait kwa kuendeleza uhusiano wa kihistoria kati yake na Zanzibar pamoja na kuipatia Zanzibar misaada mbalimbali katika sekta za kijamii. Katika hatua nyingine, Mhe. Rais Dk. Mwinyi alikutana na Balozi wa Jamhuri ya Rwanda, Meja Jenerali Charles Karamba. Katika mazungumzo hayo Balozi Karamba alimueleza Mhe Rais mpango wa Shirika la Ndege la Rwanda ‘Air Rwanda’ kuanza safari zake kati ya Kigali na Zanzibar ifikiapo katikati ya mwaka 2022, hatua ambay...
Sitholizwe Mdlalose appointed as Managing Director of Vodacom Tanzania Plc

Sitholizwe Mdlalose appointed as Managing Director of Vodacom Tanzania Plc

Vodacom Tanzania Plc Chairman of the Board of Directors, Judge (Rtd) Thomas B. Mihayo is pleased to announce the appointment of Sitholizwe Mdlalose as the new Managing Director. Sitholizwe joins the company from Vodacom South Africa (VSA) where he was the Finance Director since 2017. Sitholizwe has previously  held various roles in the Vodacom Group including that of Interim Chief Finance Officer as well as Chief Finance Officer of Vodacom Group’s International Business. Prior to joining Vodacom Group, he worked with Vodafone Group for more than 6 years holding senior roles within the Group. He has more than 19 years of finance, management and consulting experience, of which 13 have been in telecommunications across both emerging and developed markets. He holds a Bachelors of Accounting...