Tehama

Mwanamke afariki akiongezwa ukubwa wa makalio nchini Brazil

Mwanamke afariki akiongezwa ukubwa wa makalio nchini Brazil

Biashara & Uchumi, Bulletin & Updates, Kimataifa, Tehama
Dokta Denis Furtado ana takriban wafuasi 650,000 kwenye ukurasa wa Instagram Daktari wa ubadilishaji viungo anayefahamika kwa jina la Dokta Bumbum ametoroka baada ya kusababisha kifo cha mwanamke mmoja aliyemchoma sindano kwa ajili ya kukuza makalio. Wapelelezi wanasema dokta Denis Furtado alifanya kitendo hicho kwa Lilian Calixto katika makazi ya daktari huyi Rio de Janeiro, lakini aliungua wakati wa mchakato huo. Dokta Furtado alimpeleka hospitali ambapo hali yake ilizidi kuwa mbaya na akapoteza maisha, saa kadhaa baadae, Polisi alieleza. Kisha alitoweka na Jaji ametoa waranti ya kuwezesha kukamatwa. Dokta Furtado alionekana kwenye Televisheni ya nchini Brazil na ana wafuasi takriban 650,000 kwenye mtandao wake wa Instagram. Bi Calixto, mwenye miaka 46, mwenye ndoa na wa...
Maradhi ya Ebola kutokomezwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ifikapo Julai 25

Maradhi ya Ebola kutokomezwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ifikapo Julai 25

Bulletin & Updates, Tehama
Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa kutokomezwa maradhi ya Ebola nchini humo ifikapo tarehe 25 ya mwezi huuu wa Julai. Taarifa ya wizara hiyo imebainisha kwamba, nchi hiyo inasubiri kwa hamu tarehe 25 ili kutangaza kutokomezwa kwa ugonjwa wa Ebola nchini humo iwapo kutakuwa hakujaripotiwa kesi mpya ya maambuzi ya ugonjwa huo. Hii inatokana na ukweli kwamba, tangu tarehe 12  mwezi uliopita hadi jana hakuna kisa chochote kipya cha Ebola kilichoripotiwa na hivyo ikifika tarehe 24 mwezi huu bila kuripotiwa kesi mpya ya ugonjwa huo basi vita dhidi ya mlipuko wa Ebola  ulioanza tarehe 8 mwezi Mei mwaka huu vitakuwa vimefanikiwa, imeeleza sehemu nyingine ya taarifa hiyo. Akizungumza na waandishi  habari mjini Geneva, Usiwisi, Fad
Teknolojia: Kamera zinazotambua iwapo una raha ama wewe ni tishio kwa usalama

Teknolojia: Kamera zinazotambua iwapo una raha ama wewe ni tishio kwa usalama

Tehama
Affectiva inasema kuwa teknolojia yao inaweza kutambua hisia za uso Teknolojia ya kutambua nyuso inaendelea kuimarika , huku kampuni nyengine zikisema kuwa sasa inaweza kusoma hisia na kutambua tabia zinazotilishaka. lakini hii ina athari gani kwa uhuru wa faragha na ule wa kiraia? Teknolojia hiyo ya kutambua sura imekuwepo kwa miongo kadhaa sasa, lakini imekuwa ikiimarika polepole katika miaka ya hivi karibuni kutokana na maendeleo katika maono ya kompyuta na mfumo wa mitambo inayoweza kufikiria kama binadamu. Wataalam wa teknolojia wamesema teknolojia hiyo sasa inatumika kuwatambua watu katika mipaka , kufungua simu aina ya Smartphone, kuwakamata wahalifu na kuelezea waliohusika katika kufanya shughuli za benki. Lakini kampuni nyengine za teknolojia zinasema kuwa zinaweza kutamb...
UN: Vifo vya raia Afghanistan vimevunja rekodi

UN: Vifo vya raia Afghanistan vimevunja rekodi

Kimataifa, Tehama
Umoja wa Mataifa umetoa takwimu zinazoonyesha kuwa idadi ya vifo vya raia katika mgogoro uliodumu kwa muda mrefu nchini Afghanistan vimevunja rekodi kwa kuwa na watu 1,692 waliouawa katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2018. Ujumbe wa Usaidizi wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan (UNAMA) umesema katika ripoti iliyochapishwa leo kuwa idadi ya vifo vimeongezeka kwa asilimia moja zaidi ikilinganishwa na mapema mwaka jana. Mashambulizi ya makundi ya wanamgambo na milipuko ya mabomu vimetajwa kuwa vyanzo vikuu vya vifo vya raia katika nchi hiyo iliyoathiriwa na vita. Ripoti ya UNAMA imeeleza pia kwamba, raia wengine 3,430 wa Kiafghani wamejeruhiwa; kiwango ambacho kimetajwa kuwa cha chini kwa asilimia tano kulinganisha na idadi ya majeruhi wa mwaka uliopita. Ujumbe huo wa Umoja wa ...
Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum.

Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum.

Mikoani, Tehama
HONGERA FAHAD, HONGERA LUMUMBA Fahad Rashid Salum mwenye umri wa miaka 20 ni mwanafunzi ambaye ametuletea faraja mpya kwa Skuli ya Lumumba pamoja na Wazanzibari wote baada ya kuweza kuirudisha hadhi ya Skuli hii kwa kupata Division One ya point 3, akiwa na alama "A" katika masomo ya Mathematics, Physics na Chemistry na kuchaguliwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora kitaifa kwa masomo ya Sayansi. Mapema hivi karibuni, tarehe 7 Julai 2018 katika mahafali ya Kidato cha sita ya Skuli ya Lumumba , Fahad alizawadiwa kuwa mwanafunzi bora wa masomo ya sayansi, huku akikwapua zawadi ya mwanafunzi bora wa Advance Mathematics na mwanafunzi bora wa Physics. Kabla ya Kujiunga Lumumba, Fahad alipasi mchepuo kutoka Skuli ya msingi ya Mtopepo mnamo mwaka 2012. Mwaka 2015, Fahad alitokea mwan...
Barack Obama apoteza wafuasi milioni mbili kwenye Twitter, wengi Kenya waathiriwa

Barack Obama apoteza wafuasi milioni mbili kwenye Twitter, wengi Kenya waathiriwa

Tehama
Mwanamuziki Katy Perry na Rais wa zamani Barack Obama wamepoteza mamilioni ya wafuasi Watu mashuhuri walio na wafuasi wengi sana kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter wamepoteza mamilioni ya wafuasi baada ya kampuni hiyo kuanza kuondoa 'watu bandia'. Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama ni miongoni mwa walioathirika, ambapo amepoteza watu 2.1 milioni. Bw Obama, ambaye babake alitokea Kenya, amepangiwa kuzuru tena taifa hilo la Afrika Mashariki Jumatatu 16 Julai, ziara yake ya kwanza tangu andoke madarakani. Mwanamuziki nyota kutoka Marekani Katy Perry, ambaye ndiye mtu anayefuatwa zaidi kwenye Twitter, na Lady Gaga wamepoteza takriban wafuasi 2.5 milioni kila mmoja. Twitter imesema imechukua hatua hiyo kutokana na juhudi zake ambazo zimekuwa zikiendelea za kujenga imani miong...
Mahakama Ujerumani yatoa idhini kwa wazazi waingie kwenye Facebook ya marehemu binti yao

Mahakama Ujerumani yatoa idhini kwa wazazi waingie kwenye Facebook ya marehemu binti yao

Biashara & Uchumi, Tehama
Mahakama ya juu nchini Ujerumani imeamuru kuwa wazazi wa binti aliyefariki wapate haki za kuingia kwenye akaunti ya Facebook ya binti yao, kwa mujibu wa sheria za mirathi nchini humo Mahakama hiyo imesema data za mtandaoni zipewe hadhi sawa kama vile ilivyo kwa barua binafsi au kumbukumbu nyingine binafsi na kurithishwa kwa wanafamilia. Shauri hili lilihusisha wazazi wa binti wa miaka 15 aliyepoteza maisha kutokana na kuigonga treni mwaka 2012. Walitaka kibali cha kuingia kwenye anuani yake ya facebook ili waweze kufanya uchunguzi kubaini kama binti yao alidhamiria kujitoa uhai. Facebook ilikataa kutoa kibali baada ya kifo cha binti huyo, ikieleza kuhusu ikijitetea kuwa hiyo ni anuani ya mtu binafsi. Sera mpya za facebook, Kampuni inaruhusu wanafamilia, walezi kuingia na kui...
Maendeleo katika utengenezaji wa  silaha Uturuki

Maendeleo katika utengenezaji wa silaha Uturuki

Tehama
Katika sekta ya utengenezaji wa silaha katika miaka kadhaa iliopita Uturuki imepiga hatua kubwa ikilinganishwa na ilivyokuwa hapo awali. Setka ya viwanda ikiwemo utengenezaji wa sialaha nchini Uturuki imepiga hatua kwa kuzalisha silaha  katilka ardhi ya Uturuki. Utengenezaji huo wa silaha  lengo lake bila shaka ni kuondoa  utegemezi nje ambao Uturuki  ilikuwa ikitumia kiwango kikubwa katika ununuzi wa sialaha kutoka nje.  Utengezaji wa silaha kwa Uturuki kwa mmoja pia unainua sekya ya uchumi  na siasa za nje za Uturuki kuingia katika taswira mpya.   Licha ya kuwa hapo awali  Uturuki ilikuwa katika hali ya kujitutua, mwaka 2002 chama cha AK Uturuki kilifaualu kupambana ili kufikia malengo yake ya maendeleo na kupiga hatua.  Kwa sasa  kuhusu utengenezaji wa sialaha, Uturuki imepiga ha

Ugonjwa wa zinaa usiosikia dawa

Bulletin & Updates, Tehama
Ugonjwa huo unaojulikana kama Mycoplasma genitalium (MG) hauna dalili lakini unaweza kuwa na madhara ikiwemo kusababisha utasa kwa wanawake. Ugonjwa usiojulikana sana wa zinaa unaibuka kuwa usiosikia dawa ikiwa watu hawatakuwa waangalifu, wataalamu wameonya. Ugonjwa huo unaojulikana kama Mycoplasma genitalium (MG) hauna dalili lakini unaweza kuwa na madhara ikiwemo kusababisha utasa kwa wanawake. MG unaweza kukoswa kutambuliwa na kama hautatibiwa vizuri unaweza kuwa sugu kwa madawa. Shirika la Uingereza linalohusika na afya ya ngono na HIV limeznzisha shuguhli ya kutoa ushauri. Nakala yake inalaeza jinsi ya kutambua na kutibu ugonjwa wa MG. MG ni ugonjwa gani? Mycoplasma genitalium ni bakteria ambayo inaweza inaweza kuambukiza wanaume na kuathiri uume kusababisha vigumu kupit...
Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Uganda

Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Uganda

Biashara & Uchumi, Tehama
Maafisa wa polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya kutoa machozi kuzima maandamano ya wananchi waliomiminika katika barabara za mji mkuu Kampala, kulalamikia kodi mpya wanazotozwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Mbunge mmoja kwa jina Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, na waandishi kadhaa wa habari ni miongoni mwa makumi ya watu waliotiwa mbaroni katika maandamano hayo. Wanaharakati waliotisha maandamano hayo wamesema kuwa, kodi hiyo haijazingatia uhalisia wa maisha ya Waganda na hivyo wameitaja kuwa itakayoathiri sehemu kubwa ya raia wa nchi hiyo. Maandamano hayo yamefanyika chini ya kaulimbiu "Kodi Hii Lazma Iondolewe". Mwezi Mei mwaka huu Bunge la Uganda lilipasisha sheria ya kuwatoza kodi ya Shilingi 200 (Dola 0.005) watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini humo. 
error: Content is protected !!