Science & Technology

Bunge la Marekani lailazimisha Facebook kuthibitisha udhibiti wa siri

Bunge la Marekani lailazimisha Facebook kuthibitisha udhibiti wa siri

Business, Science & Technology
Mark Zuckerberg Wabunge wa Marekani wakiwa Washington walimbana kwa maswali magumu Mkurugenzi Mtendaji wa Facebook Mark Zuckerberg wiki hii wakitaka aeleze jinsi kampuni yake ilivyokuwa ikitunza taarifa na siri za watumiaji wa mtandao wake. Pia walipendekeza njia mpya ambazo wanaweza kuzitumia wao au wengine kudhibiti makampuni ya mitando ya jamii. Mark Zuckerberg alikuwa amekabiliwa na maswali magumu ambapo wabunge wa Bunge la Marekani- Congress walitaka majibu ya maswali hayo. Marsha Blackburn Mrepublikan amesema: “Nafikiri kile ambacho tumekifikia hapa, ni nani anaye kumiliki unapokuwa katika mitandao? Nani anamiliki haki zako unapokuwa mitandaoni? Zuckerberg alimjibu mbunge huyo kwamba, “Naamini kuwa kila mtu anamiliki taarifa zake mwenyewe. Na hilo ndio sual
Mtoto azaliwa miaka 4 baada ya wazazi wake kufariki

Mtoto azaliwa miaka 4 baada ya wazazi wake kufariki

Science & Technology
Mayai ya wazazi wa mtoto huyo yaligandishwa kwa barafu kwa miaka kadhaa Mtoto amezaliwa China kupitia mwanamke aliyebeba uja uzito, miaka minne baada ya wazazi wa mtoto kufariki ktaika ajali ya gari, vyombo vya habari China vinaripoti. Wazazi hao waliofariki mnamo 2013, walitoa mayai kadhaa yaliogandishwa kwa matumaini kwamba watazaa kupitia mfumo wa IVF. Baada ya ajali wazazi wao waliwasislisha kesi kuruhusiwa kuyatumia mayai hayo. Mtoto huyo mchanga wa kiume alizaliwa Desemba kupitia mwanamke aliyebeba mimba huko Laos na kisa hicho kiliripotiwa kwa mara ya kwanza wiki hii na gazeti la The Beijing News. Gazeti hilo limeeleza jinsi hakujawahi kushuhudiwa kesi ya aina hiyo na ndio sababu iliyowalazimu wazee wa wazazi wa mtoto huyo kuwasilisha kesi kabla ya kuanza mpango wa kutaf...
Jinsi wadukuzi walivyoiba bilioni 21 Kenya

Jinsi wadukuzi walivyoiba bilioni 21 Kenya

Business, Science & Technology
Noti za pesa za Kenya zilizochapishwa kwa mfumo wa 3D Dola za Marekani milioni 210 ziliibwa na wadukuzi kutoka kwenye Benki na Taasisi za serikali nchini Kenya mwaka 2017. Hii ni kwa mujibu w ripoti ya shirika la usalama mitandaoni, SERIANU, ambayo inasema mataifa ya bara la Afrika yalipoteza jumla ya dola milioni 350. Ikizingatiwa kwamba, kati ya mwezi Januari na mwezi Februari mwaka jana, Kenya ilipoteza dola milioni 50 kwa wadukuzi, ni wazi kwamba usalama wa fedha za wateja wa benki haujazingatiwa na benki nyingi. "Udukuzi ni uhalifu unaobadilika kila kunapokucha" anasema Delano Kiilu, mtaalamu wa masuala ya usalama mitandaoni. Kutoka kushoto: Mkurugenzi mkuu wa Serianu Limited, William Makatiani, Waziri wa Ulinzi wa Kenya, Balozi Raychel Omamo na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Maml...
Prof. Mnyaa ataka TEHAMA itumike kuinua uchumi

Prof. Mnyaa ataka TEHAMA itumike kuinua uchumi

Science & Technology
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa, amewataka wataalamu  wa TEHAMA kutoka nchi mbali mbali duniani kuweka mikakati  na miongozo juu ya namna ya kutumia huduma na bidhaa za TEHAMA kwa maendeleo ya uchumi na viwanda. Alitaka kuwepo majadiliano ya kina na kuibuka na mbinu za  kutabiri na kudhibiti majanga yanayotokea kuendana na mabadiliko ya tabianchi kupitia TEHAMA. Alisema hayo jana wakati alipofungua mkutano wa nane wa wiki ya kijani wa wadauwa Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU) wanaohusika na masuala ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA), uliofanyika hoteli ya Sea Cliff, mkoa wa kaskazini Unguja. Mkutano huo ulilenga kuwakutanisha wadau kwa lengo la kujadiliana namna ya kutumia TEHAMA ili kuen
Mambo 6 ya kutegemea Zuckerberg atakapotoa ushahidi kwa mabaraza ya Congress

Mambo 6 ya kutegemea Zuckerberg atakapotoa ushahidi kwa mabaraza ya Congress

Business, International, Science & Technology
Zuckerberg atakabiliana na hoja kali kuoka kwa mabunge yote mawili ya Marekani kuhusu taarifa/ data za kibinafsi hususan zile zinazolenga sakata la Cambridge Analytica Mark Zuckerberg amekuwa akijiandaa kwa jaribio lake kubwa huku Mkurugenzi mkuu huyo wa Facebook - akikabiliwa na maswali kutoka kwa mabaraza yote mawili ya congress Baadhi wanaonelea vikao hivi viwili kama zaidi ya mchezo wa kisiasa wa kuigiza , kama ni fursa ya wanasiasa kuonekana kwente Ttelevisheni wakimkosoa kwa ukali mtu tajiri na mwenye mamlaka. Huenda kukawa na ukweli katika hili. Lakini ni dhahiri kwamba haijawahi kutokea nafasi ya kumchambua Zuckerberg ambaye hapatikani kwa urahisi kutokana na kulindwa na kufichwa na kikosi chake cha maafisa wa mahusiano ya ummapamoja na manaibu wake. Taarifa yake ya ufungu...
error: Content is protected !!