Ajira

Nafasi ya Kazi: Open University of Tanzania – Kituo cha Pemba

Nafasi ya Kazi: Open University of Tanzania – Kituo cha Pemba

Ajira
TANGAZO Nafasi ya Kazi: Open University of Tanzania – Kituo cha Pemba inatangaza nafasi 1 ya ajira kwa wakaazi wa Pemba na Tanzania kwa ujumla. SIFA ZA MUOMBAJI: Awe amehitimu ngazi ya “Master” katika fani ya Elimu yaani “Master in Education” JINSI YA KUOMBA: Maombi yatumwe kwa barua pepe ya drcpemba@out.ac.tz Au wasiliana nasi kwa simu namba: 0777424767   MWISHO WA KUTUMA MAOMBI: Haraka iwezekanavyo
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI, NYUMBA MAJI NA NISHATI ZANZIBAR

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI, NYUMBA MAJI NA NISHATI ZANZIBAR

Ajira
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:- 1.Mhandisi Ujenzi (Civil Engineers) Daraja la II “Nafasi 3” – Unguja “Nafasi 2 Pemba” Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Muhandisi Ujenzi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 2.Msanifu Majengo (Architect Building) Daraja la II “Nafasi 2” -Unguja na “Nafasi 2” - Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Msanifu Majengo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 3.Mthamini Majengo (Qualtity Surveyor) Daraja la II “Nafasi 1” – Unguja na “Nafasi 1” - Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •
error: Content is protected !!